Kesi ya matumizi ya dawa za kulevya inayomkabili Agnes Gerald 'Masogange', imeahirishwa hadi Januari 26, 2018, baada ya upande wa utetezi kushindwa kutoa ushahidi wao kwa mara ya tatu mfululizo.
Post a Comment